Wednesday, November 16, 2016

Taasisi Ya Elimu Tanzania,Illustrator Jobs in TanzaniaMwombaji anapopeleka maombi yate TET aambatanishe na vivul ivyake vifuatavyo
– Certificate of incorporations

– Leseni ya biashara
– TIN number
– VAT
– Idadi ya wataalam katika kampuni pamoja na CV ya kila mmoja
– Uzoefu wa kampuni katika kufanya kazi ya uchoraji ambatanisha na zilzofanywa na kampuni
Mwombaji aainishe kwenye barua mahali ofisi ilipo . kama unaona inazo sifa za kufanya kazi hiyo andka barua na itumwe kwenye anuani ifuatayo
MKURUGENZI MKUU,
TAASISI YA ELIMU TANZANIA,
S.L.P 35094,
TANZANIA.
MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI NI TAREHE 30/11/2016No comments:

Post a Comment

ShareThis